Tangazo Jipya
MIKOPO YA KARADHA
Tunapenda kuwataarifu wanachama wote kuwa huduma ya mikopo ya vifaa sasa inapatikana. Unaweza kupata mkopo wa vifaa mbalimbali kulingana na mahitaji yako.
Vifaa vinavyo patikana ni pamoja na:-
vifaa vya umeme TV, FRIJI, MASHINE YA KUFULIA, AIR CONDITION (AC) NK
vifaa vya usafiri PIKIPIKI, BAJAJI, GARI
vifaa vya vyumbani FURNITURES NK
vifaa vya biashara na matumizi mengine.
Wanachama wote wanaotimiza vigezo wanakaribishwa kuwasilisha maombi yao.
kwamaelezo zaidi na utaratibu wa kupata mkopo, tafadhali wasiliana na ofisi ya mikopo.
KARIBU UCHANGAMKIE FURSA HII NA KUBORESHA MAISHA NA SHUGHULI ZAKO.
Taarifa zingine

🔥 MZIGO MPYA UMEWASILI! 🔥
Tunawaletea SESCOM Electric Pressure Cooker – jiko la kisasa linalorahisisha maisha yako jikoni!
Inaokoa muda wa kupika
Inatumia umeme kidogo (energy saving)
Inapika vyakula mbalimbali: wali, maharage, nyama, supu ya kongoro
Rahisi kutumia na salama kwa familia
Ubora wa hali ya juu + Warranty ya miaka 2
💥 Bei nafuu kabisa – njoo ujipatie kabla hazijaisha!
👉 Tunakopesha kwa wanachama wetu
👉 Au ukija na mwanachama kama mdhamini unapata kwa mkopo pia
laki na hamsini 150,000 kwa cash
laki na stini 160,000 kwa mkopo.
wote mnakaribishwaaaaaaa
MABORESHO YA MASHARTI YA CHAMA MWAKA 2025
Kupata masharti ya chama toleo la mwaka 2025 Pakua hapa.
Toa maoni yako Hapa
MABORESHO YA SERA YA MIKOPO MWAKA 2025
Kupata sera ya mikopo iliyo huishwa mwaka 2025 <a href="https://www.elimusaccos.co.tz/docs/SERA YA MIKOPO ILIYOHUISHWA 2025-mhariri.doc"> Pakua hapa.</a><br> Toa maoni yako <a href="https://elimusaccos.co.tz/resources/views/toamaoni.php"> Hapa</a>
Soma zaidi
Mafunzo ya Wanachama
Bodi ya ELIMU SACCOS LTD inawatangazia wanachama kuwa kutakuwa na mafunzo kwa wanachama wote tarehe 01/06/2024 kuanzia saa 2:30 asubuhi, katika ukumbi wa Bwalo la Umwema. Aidha Bodi inaomba upatapo taarifa hii umtaarifu na mwenzako karibuni sana.
Soma zaidi
Mafunzo ya wawakilishi
Bodi ya Elimu SACCOS Inawatangazia wawakiishi wote wa vituo kuwa kutakuwa na mafunzo siku ya tarehe 10/02/2024 kuanzia saa 2 asubuhi katika ukumbi wa CWT Mkoa wa Morogoro. Unaombwa kuja na Majina na namba ya NIDA ya kila mwanachama katika kituo chako.
Soma zaidi