Bodi ya ELIMU SACCOS LTD inawakumbusha kuweka Akiba kila mwezi, kukopa na kufanya marejesho kwa maendeleo ya SACCOS yetu.

Hisa

Hisa

Ni kipande cha cha umiliki wa chama, kila mwanachama anatakiwa amiliki Hisa zisizopungua 15 na zisizozidi 400. Hisa zinapata gawio baada ya ukaguzi wa hesabu kila mwaka, mwanachama akikoma uanachama kwa sababu yoyote atarudishiwa Hisa zake zote.